Saturday, December 05, 2009

Maonesho ya wajasiriamali yaliyoandaliwa na SIDO

Pichani nikiwa na mjasiriamali wa kazi za mikono kutoka Dar.
Waoneshaji wamelalamikia kukosa watembeleaji kwenye mabanda yao.
Maonesho haya yanafanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,Morogoro.
Yanatajiwa kumalizika hapo kesho.


Hapa nikiwa napata maelezo kuhusu mashine ya kuyeyusha shaba

Friday, November 20, 2009

siku ya uzinduzi wa UMEP

Haya ni matukio ya siku ya Mradi wa mazingira kinole
Hii inaitwa "mkulu koya"yaani mkubwa karudi.wadau tupo?


wacheza ngoma wa towelo wakitoa raha kwa waliohudhuria

Wednesday, October 14, 2009

Sisi sote ni ndugu

Wadau wa Greenhead wakikabidhi mpira kwa waalimu mara baada ya mechi.
Pichani ni wadau wa Greenhead college kutoka Uk,na CHINACO wakiwa kwenye jezi ya Taifa star kabla ya kukipiga na timu ya waalimu wa shule ya msingi kinole.

Monday, October 12, 2009

Wakati wa masika tunakuwa likizo.Elimu popote


Hawa wanafunzi wakifuatilia kipindi japo wamekaa chini.

Friday, October 09, 2009

Siku mdau wa CHINACO alipouaga ukapera

Pichani ni Bw Messo James akiwa mwenye tabasamu la bashasha baada ya kupata jiko.

Makabidhiano ya kivukio

Pichani kushoto ni mwenyekiti wa mtaa wa choma bi Zinduna Kombo na kulia mwenyekiti wa Chilunga Nature Conservator's(CHINACO) ndugu Godwill Herbert akimkabidhi kivukio.
CHINACO kupitia programme yake ya chilunga cultural tourism ilishirikiana na mtaa wa choma katika kutekeleza mradi huo.

Kwa raha zetu



Pichani ni wanakijiji wa choma wakivuka kwenye kivukio kipya baada ya uzinduzi.


Siku ya uzinduzi wa kivuko cha choma.

Wednesday, October 07, 2009

Pozi la wiki.Pose of the week.

Mdau akiwa amelewa chakari.A man after taking enough beers.

Monday, September 28, 2009

Maalim Ngurumo ndani ya FACE

Mambo ya FACE,msondo waliwapagawisha wana mji kasoro bahari.

Monday, September 21, 2009

Soko kuu la mjini Morogoro.Central market of Morogoro


Pichani ni mandhari ya soko la Morogoro japo ni la zamani twapata mahitaji yetu.On photo is appearance of Morogoro central Market although is old,it satisfies our needs.

Sunday, September 20, 2009

Mto Morogoro

Huu ndio mto Morogoro ambao zamani hata wakati wa kiangazi ulikuwa uweza zama.

Thursday, September 17, 2009

Joka la kibisa.sober snake


Karibu uje ujionee yote haya kwenye Fahari Afrika cultural Event hapo tarehe 25/09/2009 ndani ya mji kasoro bahari.You are welcome to see all these,in Fahari Afrika Cultural Event on 25/09/2009 in Morogoro.

Wednesday, September 16, 2009

Nani zaidi?Who is leading?



Teknologia huanzia huku.Hawa ni waundaji wa magari wa siku zijazo kama wakiendelezwa.Here is where technology starts.On photo are future car manufacturers.

Tuesday, September 15, 2009

Keki za udongo.Soil cake for clay eaters.


Maisha ni kujishughulisha.Biashara hii haihitaji mtaji.This business does not need capital,just energy is enough.

Monday, September 14, 2009

Mwezi huu ni Msondo ngoma


Jukwaani ni king k.

kama ilivyokawaida ndani ya FACE mwezi huu ni msondo ngoma "Baba ya muziki" ni tarehe 25/09/2009 ndani ya Tush club na 26/09/2009 usisite kujiandikisha kwa ajili ya kupanda mlima."kama miguu yako haijafika, macho yako hayajaona"

Friday, September 11, 2009

Utalii wa kuangalia ndege.Bird watching

Pichani ni watalii wa kuangalia ndege.On photo are bird watchers
Kila siku Jumamosi CHINACO wakishirikiana na WCST huandaa utalii wa kuangalia ndege.Jumamosi waanzia Rock garden hadi ofisi za mali asili kuanzia saa moja asubuhi.

Every saturday CHINACO in collaborations with WCST organize bird watching.This week tour will start from rock garden to regional natural&tourism office at 7:00 am.

Sagulasagula ndani ya barabara ya Uhuru.Market day along uhuru street


Siku hizi kila jumamosi kuna gulio kwenye barabara ya uhuru.Every saturday there is market day along uhuru road.

Wednesday, September 09, 2009

Duka la kijiji.Village shop


Wajasiriamali huanzia huku.Entreprenuers start from this.

Tuesday, September 08, 2009

Unakumbuka wapi?


Nguruka ni mboga maarufu kwa watu wa morogoro.Wadau mnakumbuka wapi?

Monday, September 07, 2009


Biashara ni matangazo na ubunifu


Pichani ni mjasiriamali akiwa ameweka tangazo kwenye muembe.

Sunday, September 06, 2009

Mji kasoro bahari hapako nyuma kwa sasa


Msururu wa magari kutoka mzunguko wa posta hadi stendi kuu ya daladala.

Punda afe mzigo ujifike.


Pichani ni Wanachoma wakiendelea na ujenzi wa kivukio.

Zege halilali


Pichani ni Mwenyekiti wa CHINACO Bw G.Herbret akikoroga zege kwenye ujenzi wa kivukio cha choma.

Mwanzo mzuri


Pichani ni mwenyekiti wa mtaa wa choma na kamati ya ujenzi wa kivuko,wakiwa na wadau wa CHINACO baada ya kikao cha makualiano ya ushirikishwaji katika ujenzi.CHINACO kupitia Chilunga cultural tourism programme wanashirikiana na wanachoma katika ujenzi huo.

Saturday, September 05, 2009

TEHAMA team


Hawa ni watafiti wa Teknologia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) wakiwa na wanafunzi shule ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Morogoro.
Timu hii inaundwa na Wahadhiri kutoka Mzumbe university na SUA pamoja na walimu kutoka shule ya msingi Msamvu B.

Chiluchidwe akifuatilia uzinduzi wa mradi wa UMEP


Chiluchidwe akiwa na mwandishi habari Bw Ashton Balaigwa

Friday, September 04, 2009

Uzinduzi wa mradi wa mazingira wa UMEP unaendeshwa na Chilunga Nature Conservators(CHINACO)



Godwill Mkunda mwenyekiti wa CHINACO na Andrea Schulz mshauri wa katika uzinduzi wa mradi wa UMEP(Uluguru Mountains Eco-tourism Project) leo.

Thursday, September 03, 2009

Pozi la ukweli


Huyu ni nyani akiwa katika pozi.Hapa ni hifadhi ya Taifa ya Mikumi.

Mishikaki



Kwa wale wadau wa mishikaki,karibuni tujumuike kwenye mnada wa wamasai hapa wami sokoine morogoro

Wednesday, September 02, 2009

Historia imetelekezwa



Hili ni kaburi la anasadikiwa ndie mwazilishi wa mji wa Morogoro Chifu Kingo kisabengo.Kaburi limetelekezwa,kama likituzwa linaweza kuwa kivutio cha utalii.

Adha za mzani wa mikese



Huu ni msururu wa magari kwenye mzani wa mikese Morogoro.Wahusika mmeliona.

Tuesday, September 01, 2009

Fahari Afrika Cultural Event


Mrisho Mpoto "Mjomba"akimwaga vitu vyake katika tamasha la FACE hapa mji kasoro bahari.

Monday, March 23, 2009

mandhari ya milima uluguru



Huwezi amini kama mandhari hii itatoweka.lakini ukataji wa miti unao
endelea hili linawezekana.jamani tuamke tutunze mazingira.

Saturday, March 21, 2009

wadau wa chilunga


Hawa ni tourguides wa chilunga cultural tourism wakiwa mikumi.