Saturday, December 05, 2009

Maonesho ya wajasiriamali yaliyoandaliwa na SIDO

Pichani nikiwa na mjasiriamali wa kazi za mikono kutoka Dar.
Waoneshaji wamelalamikia kukosa watembeleaji kwenye mabanda yao.
Maonesho haya yanafanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,Morogoro.
Yanatajiwa kumalizika hapo kesho.


Hapa nikiwa napata maelezo kuhusu mashine ya kuyeyusha shaba