Friday, October 09, 2009

Makabidhiano ya kivukio

Pichani kushoto ni mwenyekiti wa mtaa wa choma bi Zinduna Kombo na kulia mwenyekiti wa Chilunga Nature Conservator's(CHINACO) ndugu Godwill Herbert akimkabidhi kivukio.
CHINACO kupitia programme yake ya chilunga cultural tourism ilishirikiana na mtaa wa choma katika kutekeleza mradi huo.