Wednesday, October 14, 2009

Sisi sote ni ndugu

Wadau wa Greenhead wakikabidhi mpira kwa waalimu mara baada ya mechi.
Pichani ni wadau wa Greenhead college kutoka Uk,na CHINACO wakiwa kwenye jezi ya Taifa star kabla ya kukipiga na timu ya waalimu wa shule ya msingi kinole.

Monday, October 12, 2009

Wakati wa masika tunakuwa likizo.Elimu popote


Hawa wanafunzi wakifuatilia kipindi japo wamekaa chini.

Friday, October 09, 2009

Siku mdau wa CHINACO alipouaga ukapera

Pichani ni Bw Messo James akiwa mwenye tabasamu la bashasha baada ya kupata jiko.

Makabidhiano ya kivukio

Pichani kushoto ni mwenyekiti wa mtaa wa choma bi Zinduna Kombo na kulia mwenyekiti wa Chilunga Nature Conservator's(CHINACO) ndugu Godwill Herbert akimkabidhi kivukio.
CHINACO kupitia programme yake ya chilunga cultural tourism ilishirikiana na mtaa wa choma katika kutekeleza mradi huo.

Kwa raha zetu



Pichani ni wanakijiji wa choma wakivuka kwenye kivukio kipya baada ya uzinduzi.


Siku ya uzinduzi wa kivuko cha choma.

Wednesday, October 07, 2009

Pozi la wiki.Pose of the week.

Mdau akiwa amelewa chakari.A man after taking enough beers.